Hii ngoma video yake hakuitendea haki kabisa. Chupa lilitakiwa lichukuliwe na hawaa madogo kina joma sijui folex wafanye kitu cha hiphop clean lakini katoa ya kawaida snaaa ingawa sio mbayaa hvohvo tunaichek
Yule dem wake white hivi pisi kali bado yuko nae??Mimba tu ukishoboka na hatulei utalea mwenyew
Shop kwake kino pale hakosi nje kama wako US vileNa ile misitari yake ya "kuna maku ameni dm? Anajua lkn nadhan wanaojua zaid wamefany hawa wa level za kawaid wasisikike,pia nadhan hana dhiki ndogo ndogo huyu.
Mkuu, sio kweli mwana hauzi ngada. Sema life lake na itikadi linafanya watu wahisi hivyo