Yupo wapi Omary Mangochie, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan.

Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye kivuli cha ukuu wa wilaya.

Nani anajua alipo hiyu?
 
Hili la kugombania wanawake baa mbona maDC wengi tu mpaka Leo wanalifanya Mkuu. Kuna wilaya moja huko Rukwa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wamekutana Kwa Malaya ikawa ilivyokuwa na yakafichwa Kwa heshima ya Chama.
 
Sijui yu wapi kwasasa ila mara ya mwisho nilikutana naye 2021 KIRANDO huko Sumbawanga akiwa anasimamia mahindi yake yasafirishwe kwenda sokoni .

Ila pombe zinamrudisha nyuma kiafya , alipenda akilewa anauliza kwa kejeli ni nani kati yenu aliwahi kuwa na cheo zaidi yangu basi sisi tunacheka tu ila sio mchoyo akiwa bar hasa kwa hawa wapenda mserereko .

Allah amfanyie wepesi apunguze kilaji na Totoz.
 
Hebu mcheki hapo baa ya jirani
 
Nafahamu sana Tena sana, tumesoma wote A level na O level.

Manzi kafupi kama pimbi, katata sana kishenzi. Kula fegi, Maji etc etc
Kwao Mtwara
 
Nafahamu sana Tena sana, tumesoma wote A level na O level.

Manzi kafupi kama pimbi, katata sana kishenzi. Kula fegi, Maji etc etc
Kwao Mtwara
Duh kweli unamfahamu alikuwa anakula maji tangu O level
 
Wengine ndo maana walifeli mitihani yao. Watu wanajadili hivi huyu anajadili upuuzi! Hakuna masaa mengi atageukia makobazi!? Ati nawe ni GT? Inachefua na kutia kinyaa
Wewe hujawahi kuwa na akili. Nenda kakariri aya kwenye makombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…