Kivumah JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,427 Reaction score 1,054 Jun 27, 2011 #1 ...wanajamvi muda mrefu sijamsikia Prof. Mwesiga Baregu hasa katika masuala ya Chama CDM, amepotelea wapi Mpiganaji huyu?
...wanajamvi muda mrefu sijamsikia Prof. Mwesiga Baregu hasa katika masuala ya Chama CDM, amepotelea wapi Mpiganaji huyu?
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 713 Jun 27, 2011 #2 nenda St augustine university utampata ni chief supervisor wa phd candidates. pia tembelea ofisi za chadema pale ni mwenyekiti wa baraza la wazee wa chadema.
nenda St augustine university utampata ni chief supervisor wa phd candidates. pia tembelea ofisi za chadema pale ni mwenyekiti wa baraza la wazee wa chadema.