Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Professor Silas Lwakabamba, Ni Mtanzania wa kwanza kwenda kufungua Chuo ambacho leo hii kinaonekana kama ni mfano wa kuigwa katika Bara la Africa, yaani ni chuo cha Kigali Institute of Technology KIST, yaani ni Chuo cha mfano kwa sababu ni Wanafunzi wake wanaenda moja kwa moja kwa Community base kuwasaidia katika kufanga vyombo mbalimbali na kuona Rwanda inapiga hatua katika maendeleo.
Rais Paul Kagame baada ya vita iliyotokea mwaka 1994 aliamua kwenda UDSM na kuwaomba baadhi ya walimu kwenda naye Kigali kufungua chuo hicho katika Taifa la Rwanda, na katika hali ilivyokuwa alichukuliwa Professor Silas Lwakabamba kuwa RECTOR wa kwanza huko na kukuboresha chuo hicho. Lakini Sisi Tunanzisha vyuo vyetu Tanzania na watu hawa wako wapi jamani. Inatia uchungu sana kuona Taifa ambalo linashindwa kuwatumia watu wake na kuonekana sehemu nyingine.
Yupo wapi Silas Lwakabamba na anafundisha wapi?? Tanzania inakuhitaji sana katika kufanya na kutuimia elimu yako.
Wadau kama wanajua alipo basi wajitokeze hapa
CV yake hii hapa chini
Silas LWAKABAMBA (Chairman of Board of Rwanda Information Technology Authority RITA & Rector of National University of Rwanda)
Professor Silas Lwakabamba has been Rector at the National University of Rwanda (NUR) since July 2006. He received his PhD in Mechanical Engineering from the University of Leeds, England, in 1975, and subsequently worked as Head of the Department of Mechanical Engineering, Associate Dean, and Dean of the Faculty of Engineering at the University of Dar-es-Salaam, Tanzania, for 10 years.
In 1985, Prof. Silas Lwakabamba joined the UN-Sponsored African Regional Centre for Engineering Design and Manufacturing (ARCEDEM), based in Nigeria, as a founding Director of Training and Extension Services. For 12 years, he was responsible for organizing many workshops and training programmes for the benefit of the entire region. It is from this post that Prof. Lwakabamba was called in 1997 by the Government of Rwanda to establish the Kigali Institute of Science Technology and Management (KIST). He held the position of Rector of KIST from October 1997 to June 2006 when he was transferred to the position he currently holds as Rector at NUR.
Since 1975, Prof. Lwakabamba has been a member of several boards and committees at the national, sub-regional and international levels. These include membership of the Executive Board of UNESCO, African Virtual University (AVU) Board of Directors, Governing Council for Africa of the International Association of University Presidents (IAUP), Chairperson of the Board of Directors of the Rwandan Parastatal telephone company (RwandaTel), Chairperson of the Rwanda Information Technology Authority (RITA), President of the Institution of Engineers of Rwanda, amongst others.
In November 2001, he was elected a Fellow of the World Innovation Foundation based in UK, in February 2003, he was awarded the UICEE Silver Badge of Honour for Distinguished Contributions to Engineering Education at the 6th UICEE Annual Conference on Engineering Education, held in Cairns, Australia, and in November 2005, he received an Honourary Doctor of Technology Degree from Glasgow Caledonian University in the United Kingdom.
He has had over 50 articles published in international journals and conference proceedings in the areas of combustion, higher education, science and technology, energy and power production.