Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Tunawashauri wana Yanga mwacheni Manji apumzike kama alivyoomba .
Hakuna wa Tanzania aliyebeba Kombe!Vipi kimashindano ya Afrika Yanga mmebeba Kombe?
Upande wenu ni mafanikio ni kufika fainali michuano kama hiyo...bila upande wetu na ukubwa wa klabu kama Yanga SC, kufika tu fainali sio mafanikio..Ahaaaa ubingwa Mara 27 mafanikio ni kuishia robo fainali aibu sana