Yusuf Manji kufariki akiwa na miaka 49 kumenifanya niache kutafuta hela kwa nguvu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Maisha ni fumbo unaweza ukajikuta unatoboa zaidi ya 90 mkuu.
 
Sasa kifo na pesa kina uhusiano gani?? 🤔🤔.
Waafrika wengi wanakufa kabla ya siku zao kwa lishe mbovu na kukosahuduma stahiki za afya,operadheni ta laki mbili tu unakosa hela unakufa,stress za kukosa hela zinaleta stroke na sonona,uhusiano upo mkuu,umasikini,uninga na maradhi ni mapacha watatu hatari sana ,wanaua sana kuliko kitu chochote
 
Hapa duniani tulikuja kutembea! Ukiwa tajiri wagagawie maskini ili ukifa ukapate thawabu kwa Mwenyezi Mungu.
 
Nyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana.
Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na miaka 97.
Manjina mabilioni kafa na 49.!!!
we kalia hivyo au tukwambie usubiri bikra huko mbinguni
 
kwa akili yako unaona kifo hakina uhusiano wowote na pesa! basi tufanye hakina ila kitakuwa na uhusiano na makomamanga! easy like that.
Nimemshangaa sana huyu jamaa kusema hakuna uhusiano wa kifo na hela, shilingi 500 ya panadol tu inaweza kukuua
 
Waafrika wengi wanakufa kabla ya siku zao kwa lishe mbovu na kukosahuduma stahiki za afya,operadheni ta laki mbili tu unakosa hela unakufa,stress za kukosa hela zinaleta stroke na sonona,uhusiano upo mkuu,umasikini,uninga na maradhi ni mapacha watatu hatari sana ,wanaua sana kuliko kitu chochote
Mbona husemi kwa nini babu yangu amekufa na Miaka 102 bila hata kufanyiwa operation yoyote hata ya elfu 30. Maradhi ni chanjo cha vifo na yanaweza kuzuilika ukitaka
 
Nyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana.
Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na miaka 97.
Manjina mabilioni kafa na 49.!!!
Mkuu,

Ukiambiwa uchague maisha mafupi ya utajiri sana au marefu ya umasikini sana unachagua yapi?
 
Mbona husemi kwa nini babu yangu amekufa na 102 bila hata kufanyiwa operation yoyote hata ya elfu 30. Maradhi ni chanjo cha vifo na yanaweza kuzuilika ukitaka
Maradhi huja bila hodi huwezi kuyazuia
 
Mkuu,

Ukiambiwa uchague maisha mafupi ya utajiri sana au marefu ya umasikini sana unachagua yapi?
Umasikini sana hapana,kufa mapema pia hapana,maisha ya wastani ya kubadili mboga hata miaja 90 ntashukuru
 
Nyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana.
Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na miaka 97.
Manjina mabilioni kafa na 49.!!!
''death is not a great loss,a great loss is some good ideas dies inside you
1. Manji kawaachia wanae pesa. Watoto wake wanasema alikuwa analala ofisini hata siku tatu
2. Manji alikuwa na maugonjwa yake muda mrefu hivo haimaanishi kila mtu atakufa kwa umri huo
3. Mwenzako manji alikuwa na mijumba marekani alihitaji kulipa bills in usd na hata shopping zake ni tofauti
 
Still akafa kijana kabisa bila kufaidi mihela yake
 
Back
Top Bottom