Nyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana.
Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na miaka 97.
Manjina mabilioni kafa na 49.!!!
kwa akili yako unaona kifo hakina uhusiano wowote na pesa! basi tufanye hakina ila kitakuwa na uhusiano na makomamanga! easy like that.Sasa kifo na pesa kina uhusiano gani?? 🤔🤔.
Waafrika wengi wanakufa kabla ya siku zao kwa lishe mbovu na kukosahuduma stahiki za afya,operadheni ta laki mbili tu unakosa hela unakufa,stress za kukosa hela zinaleta stroke na sonona,uhusiano upo mkuu,umasikini,uninga na maradhi ni mapacha watatu hatari sana ,wanaua sana kuliko kitu chochoteSasa kifo na pesa kina uhusiano gani?? 🤔🤔.
we kalia hivyo au tukwambie usubiri bikra huko mbinguniNyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana.
Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na miaka 97.
Manjina mabilioni kafa na 49.!!!
Kifo ni fumbo zito, tafuta pesa nyingi ya kuwarithisha wajukuu zakoNyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana.
Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na miaka 97.
Manjina mabilioni kafa na 49.!!!
Nimemshangaa sana huyu jamaa kusema hakuna uhusiano wa kifo na hela, shilingi 500 ya panadol tu inaweza kukuuakwa akili yako unaona kifo hakina uhusiano wowote na pesa! basi tufanye hakina ila kitakuwa na uhusiano na makomamanga! easy like that.
Mbona husemi kwa nini babu yangu amekufa na Miaka 102 bila hata kufanyiwa operation yoyote hata ya elfu 30. Maradhi ni chanjo cha vifo na yanaweza kuzuilika ukitakaWaafrika wengi wanakufa kabla ya siku zao kwa lishe mbovu na kukosahuduma stahiki za afya,operadheni ta laki mbili tu unakosa hela unakufa,stress za kukosa hela zinaleta stroke na sonona,uhusiano upo mkuu,umasikini,uninga na maradhi ni mapacha watatu hatari sana ,wanaua sana kuliko kitu chochote
Siyo Panadol tu inayoponyesha... Panua akili ufikirie nje ya panadolNimemshangaa sana huyu jamaa kusema hakuna uhusiano wa kifo na hela,shikingi 500 ya panadol tu inaweza kukuua
Mkuu,Nyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana.
Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na miaka 97.
Manjina mabilioni kafa na 49.!!!
1. Manji kawaachia wanae pesa. Watoto wake wanasema alikuwa analala ofisini hata siku tatuNyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana.
Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na miaka 97.
Manjina mabilioni kafa na 49.!!!
''death is not a great loss,a great loss is some good ideas dies inside you
Still akafa kijana kabisa bila kufaidi mihela yake1. Manji kawaachia wanae pesa. Watoto wake wanasema alikuwa analala ofisini hata siku tatu
2. Manji alikuwa na maugonjwa yake muda mrefu hivo haimaanishi kila mtu atakufa kwa umri huo
3. Mwenzako manji alikuwa na mijumba marekani alihitaji kulipa bills in usd na hata shopping zake ni tofauti