MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Kinda wa mpira na striker hatari aliyekipiga kunako vilabu vikubwa barani ulaya kama Birmingham na Stoke city pia alicheza katika Ligi kuu ya Somalia, Msomali Yusuph Ahmed ameigomea club ya Azam iliyokuwa ikihaha kuinasa saini yake.
Hivi sasa Yusuph ataendelea kuitumikia club yake mpaka pale msimu utakapomalizika.
Hivi sasa Yusuph ataendelea kuitumikia club yake mpaka pale msimu utakapomalizika.