Yusuph Magupa kipaji cha mwanahabari kinachopotea masanja tv

Yusuph Magupa kipaji cha mwanahabari kinachopotea masanja tv

Don sparrow

Member
Joined
Dec 23, 2017
Posts
50
Reaction score
42
Kama umekuwa mfatiliaji wa online tv kuna hii Masanja tv ina mwanahabari anaitwa Yusuph Magupa, jamaa ana kipaji sana sema Masanja TV pale siyo mahali sahihi kwake.

Jamaa anahitaji mtu ampe ushauri atafanikiwa sana akienda kituo kikubwa yule jamaa.
 
We jamaa bana, umeamua kujipigia promo
 
Joseph, Yusuph hamkiri Yesu, Joseph anamkiri Yesu kuwa bwana na mwokozi wake
 
duh mimi tu ndio sina tv siku hizi.. ngoja canon yangu mark 4 ifike stoo niigeuze tv
 
Back
Top Bottom