Don sparrow
Member
- Dec 23, 2017
- 50
- 42
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kama ni muandishi anafanya nini sasa kwenye tv..!
Ndio maana "hafit"..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama ni muandishi anafanya nini sasa kwenye tv..!
Ndio maana "hafit"..
Kiswahili lugha ya taifa sema ina telezaKiswahili chako nimekipenda.Mzima mkuu?
Hapo vp sahihi ??Mhandishi?
Edit mkuu
Mkuu mi siyo mtu wa tasnia hyo kabisa sema nimeona jamaa ana kitu tofauti ndo mana nikaona niandke humuWe jamaa bana, umeamua kujipigia promo
Takwimu feki hizo, utakamatwa. NBS wanasema tatizo la ajira limepunguaUgumu wa ajira nchi hii unaujua au unausikia?
Nadhani channel ten huwa anafanya part time kusoma news tu ila pia ni mwajiriwa wa Praise Power Radio kama Programs ManagerHuyu si alikua channel ten?