Yusuph Magupa kipaji cha mwanahabari kinachopotea masanja tv

Muache abaki kwa mchungaji nae ale hela za waumini kama alavyo mwajili wake.
 
Weka video wengine hatumjui
Kama umekuwa mfatiliaji wa online tv kuna hii Masanja tv ina mwanahabari anaitwa Yusuph Magupa, jamaa ana kipaji sana sema Masanja TV pale siyo mahali sahihi kwake.

Jamaa anahitaji mtu ampe ushauri atafanikiwa sana akienda kituo kikubwa yule jamaa.
 
Naona watu wanachanganya madesa hapa, Yule wa Praise Power na Chanel Ten ni Boniphace Magupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…