Yusuph Makamba yu wapi?

mopaozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,300
Reaction score
523
Huyu mzee yuko wapi siku hizi na anafanya nini tangu ajiuzulu sijawahi msikia kabisa wenye data mwageni hapa wapi alionekana mara ya mwisho na anafanya nini au ndo amezitosa siasa analima mapera!!
 
Achana na YM akae kumshukuru mungu wake kilingeni aliyemsaidia kupanda hadi kufika kushika nafasi hizo.Huyo Mzee cheo kikubwa alichokistahili ilikuwa Mtendaji wa Mtaa.
 
Huyu mzee yuko wapi siku hizi na anafanya nini tangu ajiuzulu sijawahi msikia kabisa wenye data mwageni hapa wapi alionekana mara ya mwisho na anafanya nini au ndo amezitosa siasa analima mapera!!

Anampigia January Makamba Jr. Ramli kule bumbuli..............si unaona mambo ya January yanvyonyooka, hata na Jairo January anawang'oa makazini?
 
ameula nini na wapi mbona heading na content haviendani?
 
Mbona sikuelewi na hii post yako, umesema aula halafu unatuuliza anafanya nini sasa tukueleze nini??? acha
kujaza kurasa na post zisizokwa na maana humu..
 
Mode why umeedit title yangu watu watasomaje idhu ya mzee aliyefulia!!
 
Mzee hana matatizo kwani watoto wake kesha waingiza kwenye system..anakula matunda tu.
 
Mbona sikuelewi na hii post yako, umesema aula halafu unatuuliza anafanya nini sasa tukueleze nini??? acha
kujaza kurasa na post zisizokwa na maana humu..

kama huelewi unachangia nini...... kujaza kurasa? duh kazi ipo..
 
Huyu mzee yuko wapi siku hizi na anafanya nini tangu ajiuzulu sijawahi msikia kabisa wenye data mwageni hapa wapi alionekana mara ya mwisho na anafanya nini au ndo amezitosa siasa analima mapera!!

Makamaba anacheza KIDUKU
 
yupo anaendelea kupanua eneo akiandaa makazi ili mahali awapo na wao wawepo.........
 
Amekua mshauri wa karibu wa Nape na Kikwete J.M ktk maswala ya kisiasa na pia mara kadhaa ametumika kuandika taarifa za kitaalamu juu ya Mwenendo wa kisiasa wa chama chake cha Ccm.
Jamaa/Yusuph Makamba Ret.CAPTN. amekua ndio kiCHWA cha kuaminiwa ktk chama chake na inasemekana ndio mfano bora wa kiongozi alietukuka.
 
halafu nasikia kapewa na mikoba ya shehe yahaya
 
Mleta post amesaidiwa na mods kuedit title, mwanzoni aliandika Makamba aula!
 
Ameshaanza kupiga mswaki siku hizi? Binafsi naamini alikuwa hafanyi hiyo huduma ili kukoleza uvundo wa kauli zake.
 
Ameshaanza kupiga mswaki siku hizi? Binafsi naamini alikuwa hafanyi hiyo huduma ili kukoleza uvundo wa kauli zake.

Makamba anapiga Tunguli kwa waganga wa kienyeji January Apate Uwaziri...nyambaf sana huyu mzee amerithisha watoto kimbelembele. Ukitaka kujua familia zinazochukiwa Tanzania ni ya Makamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…