Kwa kweli nikisikia mwanangu anataka kuwa mwanasiasaa ntamlaani jamani
hili la mhuyu mzee limenihuzunisha sana sana akuna alieamini kama ipo siku
mh yussuf makamba atakuwa kimya kabisa kwenye anga za siasa
nauliza wapi yussuf makamba??
Babu huyu alidiriki kutukana watanzania na kuamini chama chake ndicho
chaguo la mungu baya aliamua kutumia biblia kudanganya watu hakika siamini
nauliza wapi yussuf makamba??
Makamba huyu aliesema akuna wa kumwondoa chamani hakuna wa kumgusa
wale wabaya wana muda wao ukifika watamwacha ,,wapinzani wanapitisha
wahuni ccm ili wanione mbaya lakini nawaambia nguvu za allah sitotoka hapa
naulzia wapi yussuf makamba??