Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
ukona mtu anatajataja ushoga sijui nini, ujue hayo ndo yamejaa moyoni mwake, hivyo wewe ndo shoga mwenyewe....yanga si kichaka cha mafisadi....nakushauru unyamaze kama alivyofanya mkapa, nenda kaendelee na biashara zako zingine, la sivyo tutakupopoa mawe hapa jf hadi utajuta nani alikuambia uingie humu.achana nae, shoga huyo,amejiunga leo kutoka fbook!!
yahoo punguza hasira tujadili mustakabali wa yanga chini ya fisadi papa.achana nae, shoga huyo,amejiunga leo kutoka fbook!!
Umekula nn leo wewe mwanadamu?mafisadi wanajaribu kuingia kila sehemu....kazi kwelikweli....afu ameingia na majina mengi kweli,mara yaoo mara spika...kumbe mtu yule yule amekuja kujisafisha jf...fisadi papa wewe
Sasa ni rasmi yanga itaongozwa na fisadi kama CCM.................
Sasa ni rasmi yanga itaongozwa na fisadi kama CCM.................
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO haya ndo ninayoyajua
Hivi Rage sio fisadi Mkuu? Yanga daima mbele, nyuma mwiko....
watu wanatuvurugia mada kwa sabb ya wivu tu.Wanaona yanga inaelekea kuwa kama man city! Wanaona sasa tunakuwa tunachuana na Azam badala ya simba
mafisadi wanajaribu kuingia kila sehemu....kazi kwelikweli....afu ameingia na majina mengi kweli,mara yaoo mara spika...kumbe mtu yule yule amekuja kujisafisha jf...fisadi papa wewe
Ahaaa!!!!!nimeshawagundua katabia kenu kachafu,kumbe mnatutafutia ban ehee,mnajifanya kutuchokoza ili tupandishe then mods watushughurikie eheee!"NAJIWEKA PEMBENI NAOGOPA MSONGAMANO,ELI NITULIEEE NINGOJE CHANGU NA MIEEE"Kumbe ndie alikua anawapa nauli wale wazee wenye njaa na kuwapelekea vyombo vya habari ili amngoe Nchunga,,,,na kwasababu ya Watanzania wanavyopenda vya dezo wanaona huyu bonge la mtu!!! huyo ni fisadi na fisadi ni fisadi tu hata akiwa Mkti wa Yanga...ni mwizi na mwizi ni jambazi cdm ikichukua hao ni wa kwanza kuanza nao!!
Uhuru wa maoni.... Sabodo naye Mhindi kama alivyokuwa Gulamali, Dewji, Bakhresa na wengineo. Mkiugua mnaenda kutibiwa India lakin hapa mnaleta unafiki wenu wa kibaguzi... Manji ameanza leo kujihusisha na Yanga?funguka wewe..muhindi kashakufunga macho na hivyo vi hela anavyowapa ...idiot wanatuharibia nchi hawa