Yusuph Mlela amtolea mitusi Ney wa mitego kisa Bongo movies kuandamana

Filamu haziuziki anatafuta kick mitandaoni taahira kabisa huyu.

Mimi wangeandama kina Mzee Majuto, Onyango na Ze comedy angalau wana mvuto ningeaaelewa na siyo hizi takataka za Bashite.
 
Ha ha ha haaaa.. Kushinda shinda kenya sikumbili tatu kesha adapt mpaka misemo yao?(chocolaaa)
 
Wapigane round 3... haha akili za vidudu hizi tabu sana, badala ya kutumia hela wanazopata kujiendeleza kitaaluma katika sanaa wao majority wanatumia kununua vipodozi, wakifulia wanakurupuka na story za ajabu ajabu,cast yao wanaangalia mwenye ako na chura kubwa sio mwenye ako na taaluma au kipaji. Mwisho wanashindwa kudeliver kitu chenye kiko na ubora. Ebu nikaangalie the law abiding citizen kwa mara ya 60 mimi afu the bone collector inafuata,leo narudia za zamani zamani kama the usual suspects
 
Zile za ulingoni ambazo unaweza kukimbia kimbia tu dakika 9 ni rahisi mkuu.
Hawa wanabifu round 3 zao itakua ni serious battle[emoji23] [emoji23]
Kama namuona Mlela akitaka kusema movie action mara ngumi kiii[emoji23]
 
Tunachokifanya sio ishu chamsingi ni kuwasapoti na kutoa michango yenye kurekebisha wengine ndio njia ya kutafuta rizik hio sasa iweje tuwaite majina ya ajabu kwanini hatupendi vya kwetu na kua pamoja kupeleka mbele mambo ndio Yale Yale ya simba na yanga aaaaagh tuko mbali sana we have to change...
 
Bongo movie wapo gizani bado hawajamjua shetani wao, tatizo sio movie za nje kuingizwa bila utaratibu wa kisheria hivyo kuwa bei rahisi na kufanya movie za nje kuwa na competitive advantage. Tatizo ni ubora wa kazi za wasanii wa Bongo movie, hizo za nje zikizuiwa, zikawekewa utaratibu wa kuingizwa nchini bado bongo movie hazitauzika kama hawatatoa kazi zenye ubora.
 
Mlela asipanic, Ney nahisi yupo sahihi kwani hiyo Mlela katoa movie ipi ikahit kama ya marehemu kanumba huyo si sawa na Ray mzee wa weupe wa maji asilete bifu maisha sio kupigana ngumi atumie akili kutengeneza soko lake sio fighting kama anaweza si aache movie aingie kickboxing
 
Binafsi mimi huwa sina na muda wa kuangalia bongo movie, wanaboa sana,nenda chukua kitu cha kikorea tulia nacho gheko angalia
 
Nimeelewa kwa nini SHISHI na SANURA waliwahi BONGO FLAVOR zamani sana!
 
Wewe unelekezwa unaleta jazba kama unaweza pigania soko la movie sio kupigana na ney alafu iweje sasa kuku wenyewe hawapigani sikuizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…