Yusuphu Manji vs Moody kabwe

Yusuphu Manji vs Moody kabwe

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Picha ya kwanza Moody kabwe
Picha ya pili Yusuphu Manji

Timu ni yetu sote tushikamane kuipa sapotr kwa pamoja kwani furaha ni yetu sote

A) Moody kabwe
B) Manji

Nani unae mkubali zaidi humo??
1469774460953.jpg
 
Picha ya kwanza Moody kabwe
Picha ya pili Yusuphu Manji

Timu ni yetu sote tushikamane kuipa sapotr kwa pamoja kwani furaha ni yetu sote

A) Moody kabwe
B) Manji

Nani unae mkubali zaidi humo??View attachment 372781
Kaka timu ina shida ya kocha, naona mnakaa kimya na uozo unaonekana, Yanga sasa inawachezaji wazuri sana na ukiangalia uwezo wa wachezaji wetu ukilinganisha na wapinzani wetu utaona kabisa wako almost kiwango sawasawa, ila kwa hizi mechi nne za kimataifa tulizocheza, kufungwa tatu na sare moja ni makosa na uzembe wa Kocha,
Kocha wa Yanga anaweza kuwa mzuri lakini hapo ndio mwisho wake, hawezi kuibadilisha yanga kwa njia yuote ile, yeye ni mzuri kwenye kushindana na Simba, prison nk na sio mechi za kimataifa, haiwezekani timu ifungwe "kizembe" namna ile mechi tatu na hakuna improvement yoyote kutoka mechi moja mpaka nyingine

Ni wakati wa Yanga sasa kutafuta kocha mwenye uwezo wa kusoma wachezaji wake, kusoma wachezaji pinzani na kuweza kupanga kikosi kulingana na timu anayoenda kucheza nayo
 
Acha kulalamika, timu ndiyo mbovu siyo kocha kama unavyodai. Mbona mmempatia heshima ya kuwa kocha bora na wewe ulishangilia?

Beki yote mbovu, hizo timu hazitaki mazungumzo ya chemba, nadhani hapo ndipo kwenye tatizo kuu.

Hamna ubavu wa mechi za kimataifa, msilete kisingizio kwa kumtoa mtu kafara (scape goat).

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sisi tunaipenda Simba.
 
Wamempatia hadi kadi ya uanachama.
 
Yanga was never better. Hebu tuacheni kujidanganya. Sisi tunafaham kinachotokea ndan ya club. Tunaendekeza rushwa na uchaw na ndo kisa kikubwa cha kuhamishia kambi pemba.

Imetusaidia tukicheza na simba ikiwa ni pamoja na kuwanunua wachezaj flan wa team pinzan. Kama tukikaa na kuijenga team kisayans tukaacha kununua marefa na wachezaj tungekuwa team nzuri sana. Yanatokea Yanga hayaijeng timu. Mashabiki wengi hawajui kinachotokea. Kuna mech yanga inashinda kihalal na kuna mechi ni mbinu tu ambazo hatuziwez kwa team za nje. Utamnunua nani mediema? Ukisema bek hii si ndo beki ambayo timu za ndani huwa zinasema ni ngumu? Unajua kwa nini tulifungwa Tanga? Kule ile team walipewa dau kubwa na matajiri wa team flan tajiri bongo ili wacheze kwenye kiwango chao. Wakatuchapa. Team nyngne sabab ya njaa huwa zinalegeza na kuwafanya akina tambwe wafunge magoli ya kupewa.
 
Chizi maarifa umeongea ukweli kabisa.Yanga humu walinitusi sana ila matunda ndiyo hayo yanayotokea.
 
Yanga was never better. Hebu tuacheni kujidanganya. Sisi tunafaham kinachotokea ndan ya club. Tunaendekeza rushwa na uchaw na ndo kisa kikubwa cha kuhamishia kambi pemba.

Imetusaidia tukicheza na simba ikiwa ni pamoja na kuwanunua wachezaj flan wa team pinzan. Kama tukikaa na kuijenga team kisayans tukaacha kununua marefa na wachezaj tungekuwa team nzuri sana. Yanatokea Yanga hayaijeng timu. Mashabiki wengi hawajui kinachotokea. Kuna mech yanga inashinda kihalal na kuna mechi ni mbinu tu ambazo hatuziwez kwa team za nje. Utamnunua nani mediema? Ukisema bek hii si ndo beki ambayo timu za ndani huwa zinasema ni ngumu? Unajua kwa nini tulifungwa Tanga? Kule ile team walipewa dau kubwa na matajiri wa team flan tajiri bongo ili wacheze kwenye kiwango chao. Wakatuchapa. Team nyngne sabab ya njaa huwa zinalegeza na kuwafanya akina tambwe wafunge magoli ya kupewa.

povu linakutoka kwa kusema yanga wanabebwa kwa hapa tz.je zile mechi6 zilizotufkisha hapo tulionga pia?yanga ni wakimataifa...
 
Back
Top Bottom