moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Kaka timu ina shida ya kocha, naona mnakaa kimya na uozo unaonekana, Yanga sasa inawachezaji wazuri sana na ukiangalia uwezo wa wachezaji wetu ukilinganisha na wapinzani wetu utaona kabisa wako almost kiwango sawasawa, ila kwa hizi mechi nne za kimataifa tulizocheza, kufungwa tatu na sare moja ni makosa na uzembe wa Kocha,Picha ya kwanza Moody kabwe
Picha ya pili Yusuphu Manji
Timu ni yetu sote tushikamane kuipa sapotr kwa pamoja kwani furaha ni yetu sote
A) Moody kabwe
B) Manji
Nani unae mkubali zaidi humo??View attachment 372781
Wamempatia hadi kadi ya uanachama.Acha kulalamika, timu ndiyo mbovu siyo kocha kama unavyodai. Mbona mmempatia heshima ya kuwa kocha bora na wewe ulishangilia?
Beki yote mbovu, hizo timu hazitaki mazungumzo ya chemba, nadhani hapo ndipo kwenye tatizo kuu.
Hamna ubavu wa mechi za kimataifa, msilete kisingizio kwa kumtoa mtu kafara (scape goat).
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sisi tunaipenda Simba.
Yanga was never better. Hebu tuacheni kujidanganya. Sisi tunafaham kinachotokea ndan ya club. Tunaendekeza rushwa na uchaw na ndo kisa kikubwa cha kuhamishia kambi pemba.
Imetusaidia tukicheza na simba ikiwa ni pamoja na kuwanunua wachezaj flan wa team pinzan. Kama tukikaa na kuijenga team kisayans tukaacha kununua marefa na wachezaj tungekuwa team nzuri sana. Yanatokea Yanga hayaijeng timu. Mashabiki wengi hawajui kinachotokea. Kuna mech yanga inashinda kihalal na kuna mechi ni mbinu tu ambazo hatuziwez kwa team za nje. Utamnunua nani mediema? Ukisema bek hii si ndo beki ambayo timu za ndani huwa zinasema ni ngumu? Unajua kwa nini tulifungwa Tanga? Kule ile team walipewa dau kubwa na matajiri wa team flan tajiri bongo ili wacheze kwenye kiwango chao. Wakatuchapa. Team nyngne sabab ya njaa huwa zinalegeza na kuwafanya akina tambwe wafunge magoli ya kupewa.