Wakubwa salamu sana ama baada ya salamu naomba mwenye kujua Bei ya hizi Basi za Yutong sasa hivi sijui zimefika ngapi, Napenda kujua bei complete kabisa. Shukrani na abarikiwe kila asomae Post hii......
Kama Bado hujasajiri kampuni.
Karibu ntakusajiria kwa chapu. Bei nzuri kabisa.
Pia huduma ya
- kuandaa mahesabu ya kodi
-mchanganuo wa Biashara
- kusaidia kupata leseni ya biashara
Ushauri bure
Karibuni nyote