wadau kuna kaubishi kapo hapa kijiweni kwetu kuhusu efficiency ya haya magari especially mabasi. Ubishi ume-base sana kwenye
1) speed ya mabasi, wengi wanaSema yutong ni funiko kuliko scania na ud.
2) ubovu- wamerate kuwa ubovu mchina anaongoza na relate kipindi yalipoingia Yalilaza watu njian nikiwemo na mimi. Ud wanatolea mfano sumry anavoPotea kwenye ushindan.
3)oil consumption. Mchina consumption yake iko chini kuliko wote. je ni kweli
NaOmba wadau na wajuzi wanisaisidie kwasabab nahitaJi kujua ubora wa haya Magar na hata wadau wengine ambao wanaweza kutaKa kuinvest kwenye biashaRa ya magari itawasaidia
Mkuu Sizinga hakuna kitu Yutong inakimbia kwenye tambarale tu kwenye mlima sufuri mkuu ila scania kwenye mlima ni noma maana inafunguka turbo achana nayo!!Scania zinakuwa nzito sana hasa kwenye kupandisha milima/milimani....lakini kwenye flat road...dah usipime!! Yutong ni laini mno na zinapepea kama karatasi, it is good by then!!
Mkuu Sizinga hakuna kitu Yutong inakimbia kwenye tambarale tu kwenye mlima sufuri mkuu ila scania kwenye mlima ni noma maana inafunguka turbo achana nayo!!
Acha maneno yakusikia!!bila kuwa na uhakika ni nani alikwambia Man ni brand ya marekani ??unatokwa povu tu,Mbio kakwambia nani msisema vitu bila ya kuwa na statics!Wandugu yutng engine zake ni madhubuti asikudanganye mtu. ni za kimarekani toka magari ya MAN. MBIO NDO NYUMBANI KWAKE HAKUNA CHA MARCOPOLO WALA UD.
Wandugu yutng engine zake ni madhubuti asikudanganye mtu. ni za kimarekani toka magari ya MAN. MBIO NDO NYUMBANI KWAKE HAKUNA CHA MARCOPOLO WALA UD.