Mkuu unaijua mashine inayoitwa Mercedes Benz Actross...Kwa Tanzania(Africa?) hakuna mashine inaiweza scania
Hapi kwa utafiti wako Mercedes Benz Actross pia umeitoa na Man Diesel pia hazifikii kwa Scania?Kwa Tanzania(Africa?) hakuna mashine inaiweza scania
Ok mkuu nimekuelewa kumbe unazungumzia Ubungo nilidhani unazungumzia kwa Nchi zinazobeba mizigo mingi Africa kama South Africa,Zimbabwe, mozambique na Zambia ndio maana mnaipitisha Scania..Hapa tunaongelea vitu viwili tofauti, nakubali kwamba kwa uimara na umathubuti, Scania hana mpinzani lakini hicho kinazifanya ziwe na bei ya juu sana kwa wafanya biashara. Mchina amekuja na gari zake zenye kila aina ya anachohitaji abiria nikimaanisha comfortability na anasa zote. Juzi nimepanda moja wameweka hadi USB port unacharge simu yako, haukosekani hewani kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari.
Unaposema Mchina hawakamati akina Scania, weka bayana kwa upande upi, uimara wa gari au soko? Fanya uchunguzi kidogo tu, nenda ubungo stand ya mabasi, angalia kati ya mchina na Benz, Scania mabasi gani mengi?
Huyu haangalii market trends, kwa taarifa ni kuwa scania anaisoma namba habari ya mjini ni Yutong and the likes kwa mfano kampuni ulizotaja zinatumia scania yaangalie hayo mabasi yote yamezeeka, hebu taja basi moja tu jipya pale Ubungo model ya scaniaHapa tunaongelea vitu viwili tofauti, nakubali kwamba kwa uimara na umathubuti, Scania hana mpinzani lakini hicho kinazifanya ziwe na bei ya juu sana kwa wafanya biashara. Mchina amekuja na gari zake zenye kila aina ya anachohitaji abiria nikimaanisha comfortability na anasa zote. Juzi nimepanda moja wameweka hadi USB port unacharge simu yako, haukosekani hewani kuanzia mwanzo hadi mwisho wa safari.
Unaposema Mchina hawakamati akina Scania, weka bayana kwa upande upi, uimara wa gari au soko? Fanya uchunguzi kidogo tu, nenda ubungo stand ya mabasi, angalia kati ya mchina na Benz, Scania mabasi gani mengi?
Hapa umemaliza ubishi,labda sasa niulize humo ndani ya haya mabasi kuna nini ............. ??View attachment 389802 View attachment 389803 View attachment 389808 View attachment 389802 View attachment 389803 View attachment 389808
Hizi ni Scania za Wazambia wanazitumia SA kwenda Lusaka na Zambia Local Chipata, Livingstone,Kitwe, Nakonde na Kasama haya ni Scania body toleo mapya iriza iq 7 mpaka iq 10 usd 550,000..Kwa hiyo haya ndio mnafanisha na yutong au ni kwa yale ya Ubungo tuu..,
Mkuu kuna toilet na haya ni ya Zamani Juldan motors katoa yale ya gorofa chini yana siti pana chache na sehemu ya kulia chakula haya ndio yanatumika Johannesburg to Lusaka kila siku na Kampuni zingine wanatoa mbili kea siku 1500 km na zingine zikifika ni kuoshwa tuu kupakiwa mizigo na kurudi Lusaka...Hapa umemaliza ubishi,labda sasa niulize humo ndani ya haya mabasi kuna nini ............. ??
Yaani TZ kila kitu tupo nyuma,au wanaogopa hio bei yake kununua $ 550,000 X tsh.2200 = ........??Mkuu kuna toilet na haya ni ya Zamani Juldan motors katoa yale ya gorofa chini yana siti pana chache na sehemu ya kulia chakula haya ndio yanatumika Johannesburg to Lusaka kila siku na Kampuni zingine wanatoa mbili kea siku 1500 km na zingine zikifika ni kuoshwa tuu kupakiwa mizigo na kurudi Lusaka...
kwa bei hiyo ni pamoja na kodi kwa wanaoingiza Zambia na pia kwa Wazambia yanawalipa Nauli ya Lusaka to Jozi ni Rand 850 kama tsh 140,000 na linavuta tela linalotoka na mzigo kule tani 12 ila tupo nyuma kweli vitu vizuri Tanzania ni anasa wewe huoni hata yale magari IT zinazoebda Zambia ni nzuri kuriko zinazobaki bongo...Yaani TZ kila kitu tupo nyuma,au wanaogopa hio bei yake kununua $ 550,000 X tsh.2200 = ........??
Scania ambazo zimechoka bado Yutong mpya haigusi Mzèe.kwa bei hiyo ni pamoja na kodi kwa wanaoingiza Zambia na pia kwa Wazambia yanawalipa Nauli ya Lusaka to Jozi ni Rand 850 kama tsh 140,000 na linavuta tela linalotoka na mzigo kule tani 12 ila tupo nyuma kweli vitu vizuri Tanzania ni anasa wewe huoni hata yale magari IT zinazoebda Zambia ni nzuri kuriko zinazobaki bongo...