Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
mie sio bishoo......kuhusudishwa na mashori sio ubishoo dogo......wazeiya huyo ni soulja boy tell em sio Yo Yo.....Yo Yo ni mtu mzima sio dogo kama hilo rimarekaniYo Yo mjinga....anahusudisha ubishoo
Hiyo TV kwa nyuma mbona naona kama ilishapitwa na wakati........au alikuwa kwa jamaa yake.
bhaghe
Thats balling right thurr.. DAMN, I can do with the diamond chain and the lambo... DAMN,
Jama kama huyu akianza kumtongoza mrembo wako, hauna lako aisee.
At first I thought your comment is insulting to women but then I figured its possible that its only applicable to the warembo you go out with. Kwahiyo hamna kilichoharibika.
Samahani unaweza kufafanua? Comment ya nani na imesema nini kuhusu wanawake? Maana sijaona post yoyote iliyo refer to women in any way. Maybe you so something I didn't.
Its a reply to Smatta's comment
Ooooh nimekupata dada. Nadhani alicho fanya ni kugeneralize kwa sababu wanawake wengi kama hao wapo. As long as you are not like that you have no reason to be offended dada. Si unajua kama wanawake na ule msemo wanao upenda wa "All men a the same"?
But arent all men the same? - Joke. Kuhusu comment yake, ndio maana nikasema labda anaowajua yeye so Im not offended at all.
I think the diamond chains are hideous and Im not a fan of lamborghinis or Bentleys. So thats a no brainer.
Are you for real,, thought diamonds were a ladies best friend, just next to the big purses, and big cars... If you are for real, then ama start looking else where coz all I see around me are material girls. You mean even if a brothers rolls with a Royce, it aint gonna add some marks to him??
Are you for real,, thought diamonds were a ladies best friend, just next to the big purses, and big cars... If you are for real, then ama start looking else where coz all I see around me are material girls. You mean even if a brothers rolls with a Royce, it aint gonna add some marks to him??