Yvonne Chakachaka atimuliwa Uganda kwa kufanya shughuli ya kujiingizia kipato bila kibali cha kazi, Mwenyewe akanusha na kuahidi kurejea Uganda

Ingekua Tanzania mburula wangepiga sana kelele
 
Naipongeza Sana immigration department ya Uganda. Hakuna kupindisha taratibu eti kwa vile Ni msanii. Katika nchi zao wenzetu wanafanya hivyo hivyo.
Hamna kitu kama hicho ni kwasababu za uhusiano mzuri na Bobwine mpizani mkuu wa dictetor m7 huyu Mama aliita Bobwine kama 'Mandele mpya wa Africa' pia Bobwine kashapigwa marufuku kuimba Uganda, sidhani nayeye inahitaji working permit kufanya kazi nchini kwake.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwambie kitu mtanzania akawaambie wengine kama yeye ndio alikijua mwanzo.....
Kwahii habari siwalaumu wasiofuatiliaga Tahatifa za Habari.
Huyo mama angekua team M7 hata mwaka mzima angekua anapiga show tuu na Ashukutu Uganda Hapa angekua ana ML uhujumu uchumi na kumiliki kukundi cha uhalifu kama angemuita Tundu Lissu, Mandela Mpya Wa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…