secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
AmeandikA kama anakimbizwa😂Mbona unaandika kwa code ngumu sana?
Nataka nimfunike Britannica safari hii. Mbwai mbwai! Kubashiri kubashiri tu!Hio nafasi ibaki wazi .
View attachment 3656751
Shusha vituNataka nimfunike Britannica safari hii. Mbwai mbwai! Kubashiri kubashiri tu!
Code yangu ni ngumu mno 😎Mbona unaandika kwa code ngumu sana?
Mengi yanakuja kaka. Cha msingi uwe unaandika nyuzi za kunisifia tu kwamba najua kupenyeza codes.Shusha vitu
HahahaMengi yanakuja kaka. Cha msingi uwe unaandika nyuzi za kunisifia tu kwamba najua kupenyeza codes.
Yaani una maana kua aliekua Katibu mkuu enzi za Mwitongo?Code rahisi kama nini yaani huyo Aziz Ki aliwahi kuishi kijiji kimoja na Babu wa Mwitongo
Kwamba anaweza kuwa VP?BICHWA KOMWE - jiandae kuna chanzo cha siri kimenitonya jina lako limeandikwa kwa wino wa gold
Exactly na ni mtu Wa-hasiraYaani una maana kua aliekua Katibu mkuu enzi za Mwitongo?
Bila kupingwaKwamba anaweza kuwa VP?
Friends and Our Enemies!Salama Boss?Makamu ni Dotto.Biteko
Friends and Our Enemies!Salama Boss?