Za chinichini wasaf BET ni ya wakenya, anakula kamisheni

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya.

Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum mtaani sizioni.

Imperial Kenya karibuni muwekeze Rais kashafungua njia, muue kabisa na makampuni yetu ya ndani ya wazawa
 
Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya. Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum mtaani sizioni. Imperial Kenya karibuni muwekeze Rais kashafungua njia, muue kabisa na makampuni yetu ya ndani ya wazawa
Chawa kazini
 
Cha muhimu hela inaingia, kuza brand upige hela. Kuna majina makubwa yamepita kwenye mziki wetu, wapo wapo sasa hivi hawana issues,wameshindwa kutumia brand za majina yao.

Ndio wakati wake acha azikusanye.
 
Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya. Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum mtaani sizioni. Imperial Kenya karibuni muwekeze Rais kashafungua njia, muue kabisa na makampuni yetu ya ndani ya wazawa
Hiyo kibiashara inaitwa franchise yaani mtu anakulipa kutumia jina lako kwenye biashara zake.
 
Ya wakenya walileta hadii watu wao

Screenshot_2021-12-11-03-56-12.png
 
Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya. Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum mtaani sizioni. Imperial Kenya karibuni muwekeze Rais kashafungua njia, muue kabisa na makampuni yetu ya ndani ya wazawa
Kwani akila kamisheni kuna ubaya?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ndo ukweli, I kwamba ni yake kwa asilimia 100, sema hawasemagi ukweli, c angesema ameingia ubia na kampuni ya Kenya kwani Nini mbaya. Hongera kwa platinum, Ila natafuta karanga zako na pafyum mtaani sizioni. Imperial Kenya karibuni muwekeze Rais kashafungua njia, muue kabisa na makampuni yetu ya ndani ya wazawa
Wanaoingia mikataba naye wanataka aseme hizo kampuni ni za kwake kwahiyo kusema kuwa amaeingia ubia ni kukiuka mkataba.
 
Back
Top Bottom