Tetesi: Za ndaaaaani, Simba walitafuta namna ya kumhonga Diara na kublock ndege yake , wakachemka

Hizi supu za VIBUDU zimeshawaharibu bongo zenu.
 
Mngetumia huu ubunifu wa za ndaani kunuta Pesa zilipo.....!

Mngekuwa Matajiri Sasa hivi.
 
Inafikirisha sana. Timu ifanye attempt kublock ndege za mashirika ya nje tena viwanja vya watu afu uwanjani ishindwe kublock shuti moja tu la Maxi Mpia Nzengeli "The Ousborne"?....na ipate attemp on target moja tuuu? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wazee wasimba wamechafukwa huko,ukiingia kwenye 18,zao utajuta.
 
duhh!!!
kwakweli makolo waliteseka sana kwenye hii dabi...itoshe kuiita yanga timu teule kwa misukosuko yote hiyo ila mnyama kaliwa ivyo ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…