Tetesi: Za ndaaaaani, Simba walitafuta namna ya kumhonga Diara na kublock ndege yake , wakachemka

kwa Yanga mbovu hyo Simba ihangaike hivyoo...lol😃😃😃
 
Simba HATUTUMII mbinu za kipumbavu kushinda mechi. Tunatumia sayansi ya mpira ndio maana sisi ni Saba kwa Ubora Afrika. Wengine wapo nje ya kumi bora na wanapambana nao kuingia lakini HAWATWEZA!
 
Za ndaaaaani, simba walitafuta namna ya kumhonga diara na kublock ndege yake , wakachemka
Watanzania tumekosa mambo ya kujadili, Mwabukusi yupo sahihi. Hivi unaanzisha uzi kabisa kutuaminisha kwamba klabu ya soka inaweza kuzuia safari ya ndege? Ungekuwa na exposure jinsi safari ya ndege ilivyo sensitive usingethubutu kuanzisha uzi huu, lakini yaelekea wewe ni wa humu humu tu, hujasafiri
 
Ndio maana ashura cheupe alisema wote hamna akili timamu
 
Yaani Simba ablock Emirates, Ethiopian au Qatar airways? Kweli nchi hii wenye akili wachache
 
Simba HATUTUMII mbinu za kipumbavu kushinda mechi. Tunatumia sayansi ya mpira ndio maana sisi ni Saba kwa Ubora Afrika. Wengine wapo nje ya kumi bora na wanapambana nao kuingia lakini HAWATWEZA!
Rage hakukosea vile alivyowaita..... Hicho kichaka cha nafasi ya 7 kinafyekwa muda si mrefu kama unafatilia points zao zinavyopatikana, subiri hatua ya makundi iishe ndio utajua umevuna nini na Yanga amevuna nini ndio uje uendelee kuimba nafasiya 7
 
Yaani Simba ablock Emirates, Ethiopian au Qatar airways? Kweli nchi hii wenye akili wachache
Acha kupotosha, hakuna sehemu walisema walitaka ku block ndege kitu amabcho hakiwezekanai ila kumchelewesha mchezaji asweze ku board ndege, mfano on the way to airport mnaweza kumchelewesha mtu au akifika airport kwenye ukaguzi mnaweza kutengeneza jambo litakalomfanya achelewe ndege husika na baadae mkamruhusu kuomndoka kwa ndege nyingine. Msikilize vizuri nyinyi watu, kuizuia ndege ni jambo zito mno na hilo jaribio linawezwa kufanywa na mamlaka za usalama na sio mbumbumbu mmoja kutoka popote.
 
Mpumbavu kabisa kwamba diara alikua na viongoz wa simba chumban kwake akaambatana nao airport kwamba hapo aiport hakuna askar usalama wanao ensure safetty ya mteja au unasema viongoz wa simba walihonga maafisa usalama wa viwanja vya ndege wamcheleweshe diarra[emoji23][emoji23].mnaumwa mavi nyie, who is diarra by the way [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Una akili ndogo bro.
 
Rage hakukosea vile alivyowaita..... Hicho kichaka cha nafasi ya 7 kinafyekwa muda si mrefu kama unafatilia points zao zinavyopatikana, subiri hatua ya makundi iishe ndio utajua umevuna nini na Yanga amevuna nini ndio uje uendelee kuimba nafasiya 7
Let's wait.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…