Tetesi: Za ndaaaaani, Simba walitafuta namna ya kumhonga Diara na kublock ndege yake , wakachemka

Riwaya nzuri laki ya nini? Umechukua umbea wa Ricardo Momo ndiyo unaifanya habari.
 
Mpango ni kumuonga hela kupitia mtu mwingine ili achelewe asicheze ikashindikana na fahamu diara ameingia dar saa saba siku ya jumamosi
Hata hiyo haiingii akilini maana wanadai aliyetumiwa kumuingia ni wakala wake, hao Viongozi wa Simba ni wajinga kiasi gani kumtumia wakala ili aharibu career ya mteja wake. Kuna watu ni wabunifu tu wa kutengeneza stori inayolingana na ukweli lakini inakosa uhalisia. Ninavyoona Yanga walikuwa na wasiwasi na ile mechi kuwa wangepoteza hivyo wakaandaa scapegoat. Na kwa uhalisia bila mbeleko ya Kayoko Yanga angepoteza ule mchezo.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
 
Una tabia,za kiwaki...sina muda wa kuorodhesha mi jina yenu utopwox
 
Mpaka uhamie kwetu Wananchi, la sivyo nitakuganda kama luba mpaka uombe poo πŸ˜†

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mm huyooo...nikuombe pooo...nitaweka tuu ignore list..unataka niku ignore?? Utaishi kweli nisipokujibu comment yako..maana unaonaga,raha...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Mm huyooo...nikuombe pooo...nitaweka tuu ignore list..unataka niku ignore?? Utaishi kweli nisipokujibu comment yako..maana unaonaga,raha...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Hapana naomba usiniweke kwenye ignore list nitajitahidi nipunguze tu kukunukuu, nitataniana na yupi haswa zaidi yako pekee Makolokolo Mwandamizi? πŸ˜…

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Rubbish.
Unatuona sisi ni wajinga sana ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…