Watanzania tumekosa mambo ya kujadili, Mwabukusi yupo sahihi. Hivi unaanzisha uzi kabisa kutuaminisha kwamba klabu ya soka inaweza kuzuia safari ya ndege? Ungekuwa na exposure jinsi safari ya ndege ilivyo sensitive usingethubutu kuanzisha uzi huu, lakini yaelekea wewe ni wa humu humu tu, hujasafiri