Za ndaaaani: Mkude aanza vurugu Yanga, hali ni tete

Mada nyingine bhana! Sasa hizo vurugu za huyo Mkude zitasababisha vipi Yanga kuwa na hali tete!! Mchezaji ambaye ni backup tu kwenye timu, anasababidsha vipi hali kuwa tete!
Jamaa nyuzi zake zinachekesha sana
 
😀😀😀 alisema genta
Kwamba baada ya Genta kusema ndiyo huyu naye anathibitisha au?
Mnajuaje labda kasoma uzi wa Genta ndiyo na yeye kaenda kuiongea?
Maana GENTAMYCINE alishalalamika kuwa huyu na wengine huwa wanaiba nyuzi zake na kwenda kuchukulia ujiko.
Habari yenyewe si ni hii hapa?, Genta aliileleta halafu siku mbili mbele wao wakaichukua humu na kwenda kuitundika huko kwao. Lakini angalau hawa walim acknowledge.

 
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…