Haikuwa lazima awe kocha msaidizi.Habari za uhakika kutoka vyanzo vya kuaminika ni kwamba juma mgunda atajiunga na geita gold kuanzia leo kama kocha mkuu! Hivyo mpango wa kumfanya kocha msaidizi umebuma!
Za ndaaani kabisa mumeo kakupiga kibutiHabari za uhakika kutoka vyanzo vya kuaminika ni kwamba juma mgunda atajiunga na geita gold kuanzia leo kama kocha mkuu! Hivyo mpango wa kumfanya kocha msaidizi umebuma!