Za ndani kabisa kuhusu sakata la Fei Toto

270m ila zitalipwa kwa awamu mbili 150m na 120m.
 
Yaaan Mimi anilipe pesa zangu mwizi huyo nmeapa Leo atakachokipata atasimulia
 
Mtunga story akaombe kazi Hollywood
 
Ukitunga ujinga utaaminiwa na wajinga wenzio pekee. Jaribu kutunga vitu vyenye weledi.
 
Ukitunga ujinga utaaminiwa na wajinga wenzio pekee. Jaribu kutunga vitu vyenye weledi.
Kitendo cha kusoma mpaka ukaelewa na baada ya kujiridhisha ukaamua kuandika mrejesho


Bila shaka wew ni mjinga mwenzangu
 
MAKOLO BANAAA!KWELI MBUMBUMBU
 
Inanyweka kabisa hii, tena taaratibu ukiwa unapunga upepo pale pembezoni mwa Bandari Salama huku ukishuhudiwa inavyonadia kwa tashwishwi za kila aina...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…