kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Mkuu Niko field kabisa ,muda huu Niko Kata ya MLALI wilaya ya kongwaNa tunamsubiri aje aangukie pua ..kongwa haimtaki
Njoge ndiyo wapi?Yeye sio mgogo..kwao njoge huko
Mnazid kumsogezea mbaliYeye sio mgogo..kwao njoge huko
Umepanik broWewe ni kolo tu kama Makolo wengine, hata kama kasajiliwa bure wewe inakuhusu nini ?
Kuna ubaya gani mkewe akisimamia showMmeanza kumkataa mkijua yeye mkagulu ,Sasa GSM chini ya msoga gang itawaletea huyu yule dogo wa hazina anazingua
Wagogo wakipiga simu wapige mizinga simu anapokea mkewe
Wao ,wanasema Sasa akiwa MBunGE itakuwaje ,kama Leo anapokea mkewe kilakitu mkewe
Utopolo mla mihogo unaonyesha ubora wakoUmeandika upumbavuuuu!
MkuuKumbe jamaa ni mrangi wa kongwa
Huwa nawachukuliaga poa sana warangi na mara zote nawawekaga daraja la chini mno mpaka nilipokutana na huyu jamaa nikalazimika kuwapandisha daraja
Elimu elimu elimuKuna ubaya gani mkewe akisimamia show
Dizain mke ni mkuda ndio maana kaweka ukutaElimu elimu elimu
Jingine ,lengo kupiga mizinga ujuavyo Ili utamke unachotaka lazima mlengwa
Kipande ganAchana kabisa na umoja wa watu wanaotoka kile kipande [emoji117]
Ni kwel mo anazingua lkn kumtoa bila kupata mbadala wake ni tatizoMO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
Dodoma..kongwa..Mnazid kumsogezea mbali
Njoge ipo mkoa gan???
Muulize hersi anajuaNjoge ndiyo wapi?
Sawa endelea kuzunguka..biashara tulishafunga..mwambie hersi ahesabu maumivu....na ata mkutano mkuu wa wilaya ni maumivuMkuu Niko field kabisa ,muda huu Niko Kata ya MLALI wilaya ya kongwa
Ndugai alishaaga tayari
Nakipande chakuzunguka katazote za wilaya ya kongwa
Kwa taarifa yako tu uyo hersi unamjua wew mpambe wake...na sio mkaguru huyo ..muulize wiki tatu zilizopita alivopita kibaigwa akaahidi kurud watu wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa mazafaka....huyo atapats hasara na hapati kituMmeanza kumkataa mkijua yeye mkagulu ,Sasa GSM chini ya msoga gang itawaletea huyu yule dogo wa hazina anazingua
Wagogo wakipiga simu wapige mizinga simu anapokea mkewe
Wao ,wanasema Sasa akiwa MBunGE itakuwaje ,kama Leo anapokea mkewe kilakitu mkewe
This is ourtime...wahuni tuko mbele...mwambie maumivu in advance ...i can assure you..ataliaMkuu
ndio ,zachini kabisa baada ya ndugai kuaga Kwa wakuu wa idara ,Baraza la madiwani na maeneo mbalimbali na akiwa anayemiliki mabasi yote ya kimbinyiko Tanzania ndugu JOB ndugai
Huyu kijana pendwa na GSM na msoga gang hapa kongwa ni vikumbo TU ,na bwana mdogo Moja Yuko hazina wameshaaza kumkataa pamoja anatangaza Nia akipigiwa simu anapokea mkewe ,wagogo washaaza kumdisi
Wajumbe wanakulaga pesa alaf wanakwambia uliibiwa kuraKwa taarifa yako tu uyo hersi unamjua wew mpambe wake...na sio mkaguru huyo ..muulize wiki tatu zilizopita alivopita kibaigwa akaahidi kurud watu wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa mazafaka....huyo atapats hasara na hapati kitu
Hawajui hata ziitwazo sosi sikui source huanza na watu.Wao source ni bbc na kama hao.Japo sitaamini mpaka nihakiki.Kuamin au kutokuamin hayo ni matatizo yako bro