Muuza Viat JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 2,826 Reaction score 7,388 Jun 9, 2023 Thread starter #101 taamu said: Hawajui hata ziitwazo sosi sikui source huanza na watu.Wao source ni bbc na kama hao.Japo sitaamini mpaka nihakiki. Click to expand... Sahih
taamu said: Hawajui hata ziitwazo sosi sikui source huanza na watu.Wao source ni bbc na kama hao.Japo sitaamini mpaka nihakiki. Click to expand... Sahih
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jun 9, 2023 #102 juma mpemba said: Kwa taarifa yako tu uyo hersi unamjua wew mpambe wake...na sio mkaguru huyo ..muulize wiki tatu zilizopita alivopita kibaigwa akaahidi kurud watu wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa mazafaka....huyo atapats hasara na hapati kitu Click to expand... siwezi kuwa mpambe wa hersi ,mie wewe na simpiga kura hapa kongwa
juma mpemba said: Kwa taarifa yako tu uyo hersi unamjua wew mpambe wake...na sio mkaguru huyo ..muulize wiki tatu zilizopita alivopita kibaigwa akaahidi kurud watu wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa mazafaka....huyo atapats hasara na hapati kitu Click to expand... siwezi kuwa mpambe wa hersi ,mie wewe na simpiga kura hapa kongwa