Za ndani kabisa: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Simba SC haelewani na Afisa Mtendaji Mkuu wake

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Taarifa za ndani ya Simba SC zinaripoti kuwa, Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya kampuni ya Simba SC, Abdallah Salim 'Try Again' haelewani na Afisa Mtendaji Mkuu wake Barbara Gonzalez kwenye uendeshaji wa mambo katika klabu hiyo. Inaelezwa MO Dewji anamkingia kifua CEO.

source: @FutbalPlanetUpdates
 
Kwahio tufanyeje sasa?
 
Timu inafanya vizuri. Inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…