Za ndani kabisa: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Simba SC haelewani na Afisa Mtendaji Mkuu wake

Wabongo wakibanwa mwanya wa kupiga Pesa za mchongo lazima wakutengenezee zengwe ionekane hufai, hata viongozi waafilifu huteseka Sana kutegewa mitego mingi ikiwemo mpaka ya kienyeji
 
Shida ya madam CEO inaweza kuwa KUBANA MATUMIZI KULIKOPITILIZA.

Imagine tumekaa muda kotambo hatuna kocha wa viungo na wa magolikipa. Tukakaa tena kitambo bila kocha mkuu (Mpaka sasa Mgunda ni KAUMU KOCHA MKUU)

Haya, matola ameondoka kwenda masomoni wakamvuta mgosi akae pale bench😂.


Hii BARBARA unu😔
 
Huyu Babra kila siku Yuko nje ya nchi sijui anabana matumizi Gani
 
Ikawa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…