ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
[emoji23][emoji23]au kama vipi hizi mechi saba zilizobaki tucheze sisi na wao mechi zoteSiamini kama wamefikia huku hawa. [emoji3]
Naungana na ukikaidi utapigwa2 wapewe zile zao za CAF halafu tuanze upya. [emoji3][emoji3]
Hawaezi kubali. 😂[emoji23][emoji23]au kama vipi hizi mechi saba zilizobaki tucheze sisi na wao mechi zote
Pia Leo Wakishinda Na Pamba Wapewe Point 6 Wajazie [emoji23]Siamini kama wamefikia huku hawa. [emoji3]
Naungana na ukikaidi utapigwa2 wapewe zile zao za CAF halafu tuanze upya. [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au kama vipi hizi mechi saba zilizobaki tucheze sisi na wao mechi zote
Bado kuna timu Karne hii inahitaji point za mezani? Na wewe ukute ni kiongozi wa timu?yule atakufa kwa presha
mbeya kwanza points ilizochukua jana ya wapi?Bado kuna timu Karne hii inahitaji point za mezani? Na wewe ukute ni kiongozi wa timu?
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Nani kakwambia Mbeya Kwanza wamepewa points?mbeya kwanza points ilizochukua jana ya wapi?
Ndio ndio. Wakipewa hizo Sita + hizi tatu za mezani watakuwa wanaongoza kwa point moja pale kileleni. Teh teh.Pia Leo Wakishinda Na Pamba Wapewe Point 6 Wajazie [emoji23]