Ernesto Che
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,114
- 293
Simba ndio timu gani??Na Ratiba Ya Champions League Imeshapangwa Ambapo Yanga Mtaanza Na Enyimba Ya Nchini Nigeria Hapa Dar Na Mkifuzu Kwa Hao Mmepangiwa Kukutana Na Al Ahly Ya Nchini Misri Na Mkifanikiwa Tu Kuvuka Hivyo VISIKI Vyote Mechi Yenu Ya Mwisho Mnakutana Na Simba Sports Club.
Simba mashindano gani,bonanza la mtani jembe au ,Azam keshawapoteza,j2 saresare maua,Simba imebaki historia kama tulivyofundishwa Karl Peters,achana na wahaini msonge mbele!
Sasa hivi tumesha shtukia dili zenu za kutumia Brand ya Yanga Fc kuboresha Mapato yenu..!
Sasa hivi mashabiki wa Yanga Fc tutacheki game kupitia Azam TV.
-Mbumbumbu nyie!
Simba ndio timu gani??
Inashiriki kombe gani au la mbuzi
Na Umbumbumbu Wetu Huu Huu Lakini Kila Tukicheza Huwa AKILI Inarudi Na Unaukalia MTALIMBO Wa Mnyama Kupitia Kwa Super Okwinyo.
Yanga Football Club sio ONE MAN ARMY.
Si muda mrefu mtaomba mechi ya ghafla na Yanga Fc ilikupata pesa za kumlipa OKWI.
Kila mtu anajua kwamba mmefilisika sana.
Kamuulize Mwenyekiti Wako Anaijua Mno Hiyo Timu Kwani Ktk Uongozi Wake Huu IMESHAMKOJOLEA Vya Kutosha Sana Hadi Huwa ANALIA!
Katika uongozi wake Yanga Fc imechukua ubingwa wa ligi Kuu zaidi ya mara 2..... !
Huku simba ikiwa imefukuza makocha zaid ya mara 5......!
Ina Huu?
Utaelewa eh! Haya soma tena.
Katika uongozi wake Yanga Fc imechukua ubingwa wa ligi Kuu zaidi ya mara 2..... !
Huku simba ikiwa imefukuza makocha zaid ya mara 5......!
Ahaaaaaaaaa Kumbe Unataka Twende Na Data? Haya Nijibu Super Okwinyo Kawafungeni Mara Ngapi Wana Jangwani? Na Mlijisikiaje Alipowafungeni?
Tangu aanze Kuwafunga Yanga Fc ni lini mmechukua Ubingwa wa ligi Kuu Tanzania bara....?
Tuambie idadi ya miaka ambayo imepita tangu mchukue ubingwa wa Ligi....?
namuuliza popo tunatoka dar kwenda iringa mimi nimeshuka moro yeye ameshuka mikumi yeye atasema amefika iringa awe na akili ya kuzungumza historia historia zinasomwa shuleni za mitaani hadithi
Kwani Mume Hata Kama Hampi Mimba Mkewe Lakini Kutwa Ana MGEGEDA Kuna TATIZO Gani. Nyie Mtabaki Tu Kuwa WAKE ZETU Watamu!
Naona umepanick... ulivyojua kwamba Umbumbumbu unaanza kwa viongozi hadi mashabiki.....!
Vipi Hilo Bundle Umewekewa Na Nani? Kwani Naona Huchoki Kuendelea Kubishana Na Mimi. au Manji Anahusika Kukubandua (Kukupa Bundle?).
Vipi Hilo Bundle Umewekewa Na Nani? Kwani Naona Huchoki Kuendelea Kubishana Na Mimi. au Manji Anahusika Kukubandua (Kukupa Bundle?).
Championship update: Yanga 25-17 Simba.