Wilfred Zaha amekuwa mchezaji wa kwanza kutopiga goti katika kampeni ya EPL kupinga ubaguzi wa rangi Zaha amesema haoni sababu ya kupiga goti wakati Ubaguzi unaendelea kila siku.
[emoji995] Amesema yeye hawezi piga Goti kamwe ila Ameshauri nguvu kubwa ielekezwe mashuleni na kwenye Jamii ili kutengeneza vizazi vijavyo visivyo na ubaguzi Zaha amefanya haya katika pambano la Crystal Palace [emoji739] westbrom linalo endelea .!!