kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Katika hali isiyo ya kawaida Kocha Mkongo Mwinyi Zahera anaonekana kuwa msemaji wa timu badala ya kazi yako ya ualimu. Kocha huyo amekuwa mzito kukiri udhaifu wa kikosi chake pindi wanapopata matokeo mabaya uwanjani badala yake huanza kuwazushia wenzake na kuwapa lawama.
Tukio la hivi karibuni la kumzushia Canavaro kuhusika na kipigo cha Yanga dhidi ya Simba na malamiko yake dhidi ya Azam kwamba amesikia tetesi kuwa wanajigamba wataifunga Yanga mechi zote mbili hayana mashiko kisoka kama kweli ametamka hayo.
Inasemekana kuwa Zahera anadai na kuhisi kuwa lazima kuna mtu anahujumu, haiwezekani Azam wajigambe kabla ya mechi kuwa watatufunga mechi zote.
Hoja zake hazina mashiko, lengo la Azam ni kupata nafasi ya pili ambayo itawafanya washiriki ligi ya mabingwa. Azam kujiwekea malengo ya ushindi siyo kosa, naye aseme tu kuwa ataifunga Azam.
Yanga msimruhusu Zahera kusema kwenye media bila mpangilio. Lipeni wachezaji mishahara na fanyeni maandalizi ya timu.