Zahera akitoa huu mwezi basi atakaa msimu mzima

Zahera akitoa huu mwezi basi atakaa msimu mzima

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Namungo haibebeki ni inapigwa kama Ngoma tena nyumbani na team za daraja lake ikiwepo na team mpya ya Fountain Gate.

Hapa naona David ouma akipewa kazi faster na zahera kwenda mapumzikoni
 
Imenishangaza Sana ...!

Inawezekana Factor ya Umri inawaathiri Namungo maana Magoli Yote Watu Walikuwa Wanapimwa Umri Kwanza!
 
Namungo haibebeki ni inapigwa kama Ngoma tena nyumbani na team za daraja lake ikiwepo na team mpya ya Fountain Gate.

Hapa naona David ouma akipewa kazi faster na zahera kwenda mapumzikoni
Ningekuwa na mamlaka Namungo huyu Zahera angepewa mkono wa kwa heri mapema tuu.
 
Ningekuwa na mamlaka Namungo huyu Zahera angepewa mkono wa kwa heri mapema tuu.
Team ni dhaifu sana naona mashabiki waliamua kuipa support ila game mbili na zote unapigwa goli zaidi ya Moja hapana aisee tena fountain wawe makini wangeweka 4
 
Imenishangaza Sana ...!

Inawezekana Factor ya Umri inawaathiri Namungo maana Magoli Yote Watu Walikuwa Wanapimwa Umri Kwanza!
Yah ni umri kabisa ila pia inawezekana wamefanya mazoezi mazito sana
Japo kwa misimu mitatu mfululizo wamekuwa na tabia ya kuanza vibaya
 
Yaani Center Half acheze Mkongwe Erasto Nyoni ashindane mbio na wale madogo wa 2000's??si atavunjika nyonga tu maana akili inataka lakini mwili unakataa
 
Huyu Zahera si ndiye aliyekuwa kocha wa yanga?, Kama ni huyu basi aliipoteza yanga mazima kweli wakati ukuta
Simba na yanga zile ushindi wake ni zaidi ya kocha (mawazo binafsi) maana wakati wake wachezaji walikuwa wa kawaida sana na bado alimaintain nafasi ya pili.
 
Yaani Center Half acheze Mkongwe Erasto Nyoni ashindane mbio na wale madogo wa 2000's??si atavunjika nyonga tu maana akili inataka lakini mwili unakataa
Na ndio sehem iliyokuwa hoi hadi refa akawapa penalty ambayo ni "very tight" lakini wapi.
 
Tuna tatizo la kuamini sana watu kutoka nje, zahera ni kocha na si kocha.
Na WA ndani nao shida ni zile zile maana hadi Sasa sijaona kocha mzawa ambae ka prove kiasi Cha kushawishi tuachane na makocha wa nje
Hizi short course za Oscar Milambo bado sioni zikileta mabadiliko mgunda kapigwa vibaya mno na Simba queens yake huko Ethiopia
 
Back
Top Bottom