Tanzania mchezaji anaweza hisi atalogwa😂Mashindano ya Euro ya mwaka huu kati ya Italy na Ubelgiji baada ya mechi kuisha kuna shabiki akamuomba Belloti bukta. Belloti akavua akampa akabaki na chupi na fulana.
Gatusso ameshabaki na chupi uwanjani.
Ingawa sina uhakika kama kuna kocha amewahi kuvaa pensi muda timu yake inacheza ila sioni ni kivipi liwe ni swala la TFF hilo ilipaswa liwe swala la timu husika kuona kocha hawi kiongozi kwa wachezaji kimavazi.
Malalamiko FC
Zahera alikuwa anavaa pensi wakati wa mechi. Morrison amevua bukta baada ya mechi kuisha. Hayo yote ni mapovu baada ya kufungwa kwenye mechi ya ubingwaHuu ni upumbavu kabisa! Aliekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliadhibiwa kwa kuvaa pensi
Kitendo cha Morrison kubaki na chupi nilitaraji kusikia Waziri husika, BMT na TFF vikikemea tendo lile
Kwani pensi inashida gani wakati wa mechi?Zahera alikuwa anavaa pensi wakati wa mechi. Morrison amevua bukta baada ya mechi kuisha. Hayo yote ni mapovu baada ya kufungwa kwenye mechi ya ubingwa
Kwako haina shida, ila kwa watunga kanuni ina shidaKwani pensi inashida gani wakati wa mechi?
Basi wewe na hao watunga kanuni mnafanana akili zenu kwakuona kuvaa pensi ni kosa na kuvua chupi hadharani sio kosaKwako haina shida, ila kwa watunga kanuni ina shida
Tff=🐁Huu ni upumbavu kabisa!
Aliekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliadhibiwa kwa kuvaa pensi
Kitendo cha Morrison kubaki na chupi nilitaraji kusikia Waziri husika, BMT na TFF vikikemea tendo lile
Mpaka sasa hakuna aliyeamka kuongelea inasikitisha sana sana
Unawaza shida n isimba ama shida ni viongozi wa TFF nk kuwa na mhemko na timu ya Simba
Mnatia aibu; Tanzania tuna maadili yetu