Kwanza unazungumzia September ipi hiyo,ya 2020?Wanayanga wenzangu huyu mzee hana jipya tukifungwa ama kudroo mechi dhidi ya polisi atasema wachezaji walikuwa na uchovu na hlo tulitegemee uongozi jamani pingeni kauli za huyu kocha timu imecheza mechi nyingi sana lkn kila siku visingizio haviishi walai kwa mbinu zile za kupaki basi sahau kupata matokeo
?????Wanayanga wenzangu huyu mzee hana jipya tukifungwa ama kudroo mechi dhidi ya polisi atasema wachezaji walikuwa na uchovu na hlo tulitegemee uongozi jamani pingeni kauli za huyu kocha timu imecheza mechi nyingi sana lkn kila siku visingizio haviishi walai kwa mbinu zile za kupaki basi sahau kupata matokeo
Kiuwekl Zahera
kazidi sijawah kuisikia Ata siku moja ame fungwa au katoa sale aka Sema sababu za maana yaani kiufund
Always Ata laumu TFF, MAREFA, VIWANJA, AU ASEME UCHOVU
Ajawah kukiri kuwa wapinzani wake walikuwa vizuri au kusema kama wachezaji wake alicheza vibaya au Wali zidiwa mbinu
Sasa akishinda utapenda kifup sio kocha ambae anaheshemu ubora wa timu zingine yeye a naamin yeye ndio bora na timu yake Ina stahili kuzifunga timu zote sio yeye kufungwa au sare
Ni shida hiyo