mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hawezi kula mshahara Bongo alafu alete janja janja mjini...Tutaleta heshima kwa nchi, piga AS Vita na Zahera wao ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ubunge upi wa kuchaguliwa jitu jizi na tapeli kama huyu Manara? Au anadhani tumeshasahau ni kashfa gani ilimfanya ajiuzuru ukatibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar?Huyu Haji nadhani hali yake inaathiri kufikiria vizuri(sorry kwa hilo) kelele anazopiga ni upuuzi mtu badala ya kudeal na kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani anamtengenezea Zahera enemity kwa mashabiki wa Simba.
Simba ilikula 5,Zahera alikuwa Shinyanga kucheza na stand
Simba ilikula 5 ,Zahera alikuwa Tanga
Then,Haji anasahau kuwa Zahera ni Mcongo na Ibenge ni boss wake kwenye national team ya Congo na amekuwa naye kwa muda kila anapokwenda hata Ibenge alipokuwa kocha china alimchukua Zahera.
Kambi ya Yanga tulipoenda kucheza na Usm algers Saimon Msuva alitembelea kambi kuwapa hi waTz wenzake kuna ubaya gani Zahera kwenda kuonana na Ibenge na wachezaji ambao atakuwa nao national team,yaani aogope kisa kuonekana atampa siri hizo+255 mlizokula yeye ndo kachangia.
Zahera anaweza kwenda kesho uwanja wa taifa halafu,Simba wakapoteza game halafu mashabiki wakareact na kumdhuru Zahera kwa sumu hizi za Hajji maana wengi ni mbumbumbu according to Ragge,nini kitatokea na mashabiki wa Yanga wakiamua kumtetea kocha wao? Huyu Hajji Usilazimishe game ya Simba kuifanya kama ni national team,pambaneni na mambo yenu wenyewe.
Na siku moja kauli na maandishi ya hili jinga yatamponza,eti anataka naye kugombea ubunge,duuh.......
Msilazimishe kama hamna uwezo msipandikize chuki
Anajiharibia kwa nani? Kama ni kwetu vyura basi hilo sahau sisi wenyewe tutafurahi sana ikiwa habari hizo ni za kweli kwa maana hata hiyo itakuwa ni moja ya kazi nzuri sana zenye kutukosha nafsi sisi vyura. Simba kesho wakifungwa nitafurahi saaaaanaaaaaaa!!! Lengo letu na furaha yetu ni kuona simba haiendelei. Hatujawaomba mtuwakilishe pambaneni na hali zenu na mjiwakilishe wenyewe. Tena huna haya kabisa,hivi kocha wetu akiwa karibu na Vita Club shida nini,anahujumu nini hapo kwani yupo na wachezaji wenu si yupo na wachezaji Wa vita? By the way mlimfunga so msipige kelele kwa sababu hana mbinu zozote za kuwafunga au kusababisha mfungweNimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.
Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?
Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?
Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.
Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu haimbwi kama dharuraHuu uzi unavyura wengi mpaka unamtishia Simba kunywa maji ila nawaomben tuongeee kisoka kesho baada ya 90' Mwenyez Mungu akitujaalia uzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jimbo anavizia hapa DarNi ubunge upi wa kuchaguliwa jitu jizi na tapeli kama huyu Manara? Au anadhani tumeshasahau ni kashfa gani ilimfanya ajiuzuru ukatibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar?
Manara soma hiyoooooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hao Yanga wanamlipa mshahara?Mimi sijaelewa Zahera ana ihujumu vipi Simba kwa kushiriki kwake na timu ya As Vita. Yule sio mtanzania ni mkongo, na ile As Vita ni timu inayotokea Congo, Kocha wa Vital ni kocha mwenzie anayefundisha nae timu ya taifa ya Congo. Tatizo lipo wapi kwa Zahera kumpa mbinu za kiufundi kocha mwenzie? Hapo hakuna hujuma, labda kama Zahera anafanya namna ili marefa wahongwe, au kama anafanya mbinu chafu zisizoruhusiwa kwenye mpira wa miguu. Lakini kama anaisaidia Vita kwenye mambo ya kiufundi kwenye uchezaji wa mpira basi kwa upande wangu sioni hiyo hujuma kwa timu ya Simba.
Na pia Zahera halipwi mshahara na watanzania, bali analipwa mshahara na timu ya Yanga ambao ndio maasimu wa Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona una chuki na ManaraHuyu Haji nadhani hali yake inaathiri kufikiria vizuri(sorry kwa hilo) kelele anazopiga ni upuuzi mtu badala ya kudeal na kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani anamtengenezea Zahera enemity kwa mashabiki wa Simba.
Simba ilikula 5,Zahera alikuwa Shinyanga kucheza na stand
Simba ilikula 5 ,Zahera alikuwa Tanga
Then,Haji anasahau kuwa Zahera ni Mcongo na Ibenge ni boss wake kwenye national team ya Congo na amekuwa naye kwa muda kila anapokwenda hata Ibenge alipokuwa kocha china alimchukua Zahera.
Kambi ya Yanga tulipoenda kucheza na Usm algers Saimon Msuva alitembelea kambi kuwapa hi waTz wenzake kuna ubaya gani Zahera kwenda kuonana na Ibenge na wachezaji ambao atakuwa nao national team,yaani aogope kisa kuonekana atampa siri hizo+255 mlizokula yeye ndo kachangia.
Zahera anaweza kwenda kesho uwanja wa taifa halafu,Simba wakapoteza game halafu mashabiki wakareact na kumdhuru Zahera kwa sumu hizi za Hajji maana wengi ni mbumbumbu according to Ragge,nini kitatokea na mashabiki wa Yanga wakiamua kumtetea kocha wao? Huyu Hajji Usilazimishe game ya Simba kuifanya kama ni national team,pambaneni na mambo yenu wenyewe.
Na siku moja kauli na maandishi ya hili jinga yatamponza,eti anataka naye kugombea ubunge,duuh.......
Msilazimishe kama hamna uwezo msipandikize chuki
It seems haupo informed. Hujasikia Zeruzeru anamfuatilia Zahera utafikiri mume wake?Zahra hana madhara kwa Simba, tokA amejiunga na vyura hajawi shinda
Analipwa na Mo Dewji.Hata hao Yanga wanamlipa mshahara?
Sina chuki ila amezidi ujingaNaona una chuki na Manara
Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.
Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?
Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?
Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.
Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kosa lake lipi,yeye ni mkongomani kuwasaidia As Vita siyo kosa mbona mlifungwa Kinshasa?,He mbona mnamuogopa wakati mlinfunga akiwa na yanga acheni visingizio bhana.Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.
Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?
Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?
Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.
Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile hukumu ya FIFA ilifikaga?!? Huyu mutu huyuuu!!!!.mbumbumbu fc acheni upumbavu. hivi manara kawaloga? mangapi aliyowadanganya? pangeni timu, wekeni malengo ya kushinda, pambaneni, mnawachezaji wazuri na mna kila kitu. tunachotaka watanzania ni kuona mnawakilisha taifa letu vizuri, leteni kombe nyumbani. kwani zahera anaingia uwanjani na kucheza? au mnatafuta pa kufia? HUYO KICHAA WENU ANAWAPOTEZA. MTAKUA LINI NA AKILI ZENU ZA KUAZIMA! msituletee balaa la hamsa hamsa tena! na mkifungwa tunakaa na bakora mlangoni pa gari. unakula zako tatu za matakoni ndo unaingia kwenye gari... leteni ujinga!
Tangu lini Simba ikawakilisha nchi? Hii ni michuano ya vilabu, msitake kueneza pdopagbanda za kijinga. Mmesahau waKfi Yanga inacheza mlikuwa mkiaviza jezi za wapinzani wao? Mbona hakjna aliyssema mnahujumu nchi? Ni nora mkaboresha mbinu zenu kuliko kujikita kwenye huo ushuzi alioutoa Haji. Kwanza Haji anapaswa kuomba radhiNimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.