Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Huyu Zahoro Matelephone ni nani kiasi cha RC anakwenda kuzindua kiduka chake? Yaani ni kama Vile Chalamila ameenda kariakoo akazindua kaduka maeneo hayo akaenda na makamera kabisa kuonesha amefanya uzinguzi huo.
Huyu Zahoro ni nani? Ana nguvu sana huko SISIEMU? Au anawamwagia sana hela?