Pre GE2025 Zahoro Matelephone ni nani mpaka RC Mwanza ameenda kuzindua kiduka chake cha simu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Huyu Zahoro Matelephone ni nani kiasi cha RC anakwenda kuzindua kiduka chake? Yaani ni kama Vile Chalamila ameenda kariakoo akazindua kaduka maeneo hayo akaenda na makamera kabisa kuonesha amefanya uzinguzi huo.

Huyu Zahoro ni nani? Ana nguvu sana huko SISIEMU? Au anawamwagia sana hela?

Your browser is not able to display this video.
 
Fungua chako umuite mkuu wako wa mkoa..as long as unaajiri watu wawili wa nne wewe ni mtu wa muhimu sana kwa serikali bear in mind utalipa kodi pia ☺️☺️
 
Amos Makalla akiwa RC wa DSM alizindua Bar ya Pombe ya DDC KEKO , tena ikiwa imebinafsishwa, hawa ma RC ukiwahonga hela ndogo unawatumikisha utakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…