kuna hii nyimbo toka imetoka kitambo hicho miaka ya late 90 to 2000 napenda isikiliza ya mtoto wa gerezani Zahran na Complex,mimi siyo mpenzi wa hizi hiphop za kibongo za sasa miaka hii ya dot.com ila napenda sana sikiliza za zamani, huyu jamaa Zahran yuko wapi??ana ishu gani??alikuwa anachana kama Big Pun, na je hii biti katika tupa mawe nani alitengeneza??