Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Mmiliki wa mtandao wa Kijamii, Facebook amepoteza zaidi ya Dollar Billion 15 ndani ya dakika 5, ambazo ni zaidi ya Bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2018/19
Amepoteza kutokana na kufanya vibaya kwa Facebook kwenye hesabu za robo iliyopita
Mark Zuckerberg Lost $15.1 Billion in 5 Minutes This Morning
Amepoteza kutokana na kufanya vibaya kwa Facebook kwenye hesabu za robo iliyopita
Mark Zuckerberg Lost $15.1 Billion in 5 Minutes This Morning