Zaidi ya Billion 3 Kwa Tanzania kutumika kutunga Kanuni za Bunge Maalumu Pekee,Je Ni Sahihi?

FBY 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
401
Reaction score
90
Wakuu,

Mtakubaliana nami kua Mpaka sasa kwa Hizi Week 3 Ambazo Bunge Maalumu la Katiba limetumia,ni Zaidi ya Bilion 3 kwa Posho Pekee zimetumika achilia Gharama nyingine Zisizo rasimi na Kujulikana wazi, Swali la Msingi: Je,Kwa Nchi kama Tanzania kutumia Kiasi hiki cha Pesa kwa Kazi hiyo pekee ni Sahihi?

Chukua Wastani wa Wajumbe 600 kwa Siku.

600 x 21 x 300,000 = 3,780,000,000.
 
Bunge maalumu lisingeweza kuendeshwa bila kanuni. Kanuni hizo ni muhimu sana bila kanuni hizo mchakato wote wa katiba ungekufa.

Pia hizo kanuni haziwez kupatikana kirahis tu lazima watu wabishane. Watofautiane hadi mwisho wafikie muhafaka.

Hizo kanuni ni muhimu kuliko hizo pesa
 
Wacha wee!
 
View attachment 143919
najua ilipangwa siku 70 watumie kujadili katiba je kwa hali hii kwa siku hizo 70 au 90 katiba itapatikana?? na je hizo gharama inakuaje??
 
Wakuu,

Mtakubaliana nami kua Mpaka sasa kwa Hizi Week 3 Ambazo Bunge Maalumu la Katiba limetumia,ni Zaidi ya Bilion 3 kwa Posho Pekee zimetumika achilia Gharama nyingine Zisizo rasimi na Kujulikana wazi, Swali la Msingi: Je,Kwa Nchi kama Tanzania kutumia Kiasi hiki cha Pesa kwa Kazi hiyo pekee ni Sahihi?

Chukua Wastani wa Wajumbe 600 kwa Siku.

600 x 21 x 300,000 = 3,780,000,000.
Lazima iwe sahihi umeonesha 600 x 21 x 300000=3,780,000,000 au ulitaka usahihi upi?Wewe omba Mungu itoke katiba bora sio Bora Katiba hayo ya gharama hata wewe ukipelekwa Dodoma ungedai nyongeza kama waliopo tuu usiwe mnafiki.
 
Ingekuwa Serikali imeagizwa itoe fedha hizo hizo kwa ajili ya kuboresha Hospitali au Shule, ungesikia kuwa "bajeti yetu ni finyu!" Only in Tanzania!
 
Wakulaumiwa katika hili ni CHADEMA walioshinikiza katiba mpya wakati si kipaumbele cha wananchi ..

CDM ndio mwiba wa maendeleo ktk nchi hii
 
Ni sawa,tu
 
Attachments

  • 1394443982519.jpg
    1394443982519.jpg
    12.2 KB · Views: 44
Ngoja watumie wamalize mapema ili tufanye mengine, hili swala limepigiwa kelele muda mrefu, kama it takes that amount of money kulimaliza bora liishe
 
Back
Top Bottom