Bunge maalumu lisingeweza kuendeshwa bila kanuni. Kanuni hizo ni muhimu sana bila kanuni hizo mchakato wote wa katiba ungekufa.
Pia hizo kanuni haziwez kupatikana kirahis tu lazima watu wabishane. Watofautiane hadi mwisho wafikie muhafaka.
Hizo kanuni ni muhimu kuliko hizo pesa
Wakuu,
Mtakubaliana nami kua Mpaka sasa kwa Hizi Week 3 Ambazo Bunge Maalumu la Katiba limetumia,ni Zaidi ya Bilion 3 kwa Posho Pekee zimetumika achilia Gharama nyingine Zisizo rasimi na Kujulikana wazi, Swali la Msingi: Je,Kwa Nchi kama Tanzania kutumia Kiasi hiki cha Pesa kwa Kazi hiyo pekee ni Sahihi?
Chukua Wastani wa Wajumbe 600 kwa Siku.
600 x 21 x 300,000 = 3,780,000,000.

Lazima iwe sahihi umeonesha 600 x 21 x 300000=3,780,000,000 au ulitaka usahihi upi?Wewe omba Mungu itoke katiba bora sio Bora Katiba hayo ya gharama hata wewe ukipelekwa Dodoma ungedai nyongeza kama waliopo tuu usiwe mnafiki.Wakuu,
Mtakubaliana nami kua Mpaka sasa kwa Hizi Week 3 Ambazo Bunge Maalumu la Katiba limetumia,ni Zaidi ya Bilion 3 kwa Posho Pekee zimetumika achilia Gharama nyingine Zisizo rasimi na Kujulikana wazi, Swali la Msingi: Je,Kwa Nchi kama Tanzania kutumia Kiasi hiki cha Pesa kwa Kazi hiyo pekee ni Sahihi?
Chukua Wastani wa Wajumbe 600 kwa Siku.
600 x 21 x 300,000 = 3,780,000,000.
Lazima iwe sahihi umeonesha 600 x 21 x 300000=3,780,000,000 au ulitaka usahihi upi?Wewe omba Mungu itoke katiba bora sio Bora Katiba hayo ya gharama hata wewe ukipelekwa Dodoma ungedai nyongeza kama waliopo tuu usiwe mnafiki.
Ingekuwa Serikali imeagizwa itoe fedha hizo hizo kwa ajili ya kuboresha Hospitali au Shule, ungesikia kuwa "bajeti yetu ni finyu!" Only in Tanzania!