Zaidi ya Billion 3 Kwa Tanzania kutumika kutunga Kanuni za Bunge Maalumu Pekee,Je Ni Sahihi?

Zaidi ya Billion 3 Kwa Tanzania kutumika kutunga Kanuni za Bunge Maalumu Pekee,Je Ni Sahihi?

FBY 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
401
Reaction score
90
Wakuu,

Mtakubaliana nami kua Mpaka sasa kwa Hizi Week 3 Ambazo Bunge Maalumu la Katiba limetumia,ni Zaidi ya Bilion 3 kwa Posho Pekee zimetumika achilia Gharama nyingine Zisizo rasimi na Kujulikana wazi, Swali la Msingi: Je,Kwa Nchi kama Tanzania kutumia Kiasi hiki cha Pesa kwa Kazi hiyo pekee ni Sahihi?

Chukua Wastani wa Wajumbe 600 kwa Siku.

600 x 21 x 300,000 = 3,780,000,000.
 
UMEKOSEA,
sisi tunafahamu ni 682(wajumbe) X (30 siku) X 300,000 -= 6,1380,000,000/ Tshs
 
Back
Top Bottom